Advertising

AUDIO MPYA: NISHIKE MKONO kutoka kwa DAVID NYIGU | Download hapa


Anafahamika kwa jina la DAVID NYIGU,ambaye anatamba kwa wimbo wake uitwao NISHIKE MKONO.. Ni wimbo mzuri kwa kweli na unao bariki sana..
Mwimbaji huyu anatokea Njombe ila kwa sasa anaishi  Mbeya.... 
Kazi ya muziki imefanywa na Danie Mwasiposya...
Mtumishi huyu yuko tayari kwa huduma,unaweza kuwasiliana nae kwa simu namba +255767473655
 BOFYA HAPA KUDOWNLOAD
AUDIO MPYA: NISHIKE MKONO kutoka kwa DAVID NYIGU | Download hapa AUDIO MPYA: NISHIKE MKONO kutoka kwa DAVID NYIGU | Download hapa Reviewed by Unknown on 9:18 AM Rating: 5

No comments:

Events

Powered by Blogger.