HIZI NDIO ISHARA KUU ZA MWANAMKE ANAEKUPENDA KWA DHATI.
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke
anaekupenda kiukweli.
Mwanamke anaekupenda
kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote au kukuchukulia kama chanzo cha mapato au kitega uchumi chake bali
atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako
na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na
mengineyo unatakiwa kujiongeza wewe kama
mwanaume na sio kubweteka na kupendwa tu,
kwa
sababu mwanamke wako anahitaji matunzo vilevile
Wanawake wameumbwa na moyo 'strong' lakini
katika suala la mapenzi na hisia wako 'sensitive'
sana.
Wanahitaji kupendwa na wanahitaji kuona
akijaliwa.
Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake
atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara
kwa mara, atakupigia simu every time when she
feels she wants to talk to you.
Atakuwa kama mtoto mdogo anayehitaji kupendwa,
kukumbatiwa, kubebwa na kutizamwa kwa umakini.
Mpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda
mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka
unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini?
Ila
unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na
anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
Ukipata mwanamke wa aina hiyo tulia, usimuumize
wachana na mitambo mingine, utazunguka bucha
zote lakini nyama ni ile ile sana sana utamaliza nauli
yako na nguvu zako za kuzunguka kila bucha.
Matapeli wa mapenzi ni wengi mno miaka hii yaani unakuta binti mmeanza mahusiano kila siku vibomu mara baby naomba ela ya saloon, ooh baby naomba ela ya birthday mara please baby recharge me yaan unakuta hata mwezi haujaisha kashakunyonya zakutosha!!
Mpende sana mwanamke aliyeridhika na ww kwa kila hali
HIZI NDIO ISHARA KUU ZA MWANAMKE ANAEKUPENDA KWA DHATI.
Reviewed by Unknown
on
7:49 PM
Rating:
No comments: