Moyo mzuri una faida
Moyo mzuri una faida, kwani itafika kipindi lotion haita saidia, wigs za bei, wala brazilian hair haitakubali kichwa, pale makeup zitakapokuchoka na kukataa ngozi ilokunjamana, pale miwani ya ray ban au guess itakapokataa macho, pale haircuts zitakataa kichwa, au tshirt zitakopokuwa zinabembea mwilini, hazikai kwenye shoulders, pale nguvu za kwenda gym zitakapo isha, utabakiwa na nini? Utabakiwa na kipi tena, UKIWA NA MOYO MZURI ni hazina tosha, usimdharau mtu, tabasamu, saidia, sadiki nisemayo!! Hutatembea pekeeako kamwe!!!!!
Moyo mzuri una faida
Reviewed by Unknown
on
11:58 AM
Rating:
No comments: